Habari za Punde

KESI YA TUNDU LISUU YAAHIRISHWA, AREJESHWA LUPANGO

 . Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, akipanda katika gari la mahabusu baada ya rufaa yake kugonga mwamba na kesi yake kuahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, jana baada ya kusomewa mashitaka ya kutoa lugha ya uchochezi.
Wakati Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, jana alipelekwa Mahabusu baada ya kusomewa shitaka lake la kutoa lugha ya uchochezi na kesi yake kuahirishwa hadi Julai 27 mwaka huu.
Tundu Lissu, akiwa katika gari la polisi kurejeshwa mahabusu baada kuahirishwa kwa mashitaka yake ya lugha ya uchochezi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, jana
Tundu Lissu, alipokuwa akiwasili viwanja vya Mahakama Kisutu jana
Tundu Lissu, akipelekwa katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kusomewa mashitaka ya kutoa lugha ya uchochezi.
Lissu, akiwa ndani ya chumba cha Mahakama akisubiri kusomewa mashitaka yake jana

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.