Habari za Punde

MBUNGE WA CHALINZE RIDHIWANI KIKWETE ALIPOWASHUHUDIA KAUZU FC WAKIAGA MASHINDANO YA NDONDO CUP

Shabiki maarufu wa timu ya Kauzu Fc,Chief Kauzu, akiteta jambo na Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, wakati akiingia uwanjani kuhudhuria mchezo wa hatua ya 16 Bora ya mashindano ya Sports Extra Ndondo Cup dhidi ya Stima Tosha. Katika mchezo huo Kauzu walitolewa kwa mikwaju ya penati 4-2.
 Mbunge Ridhiwani Kikwete, akikabidhi zawadi kwa Kiongozi wa timu ya Stima Tosha ya Mabibo.
 Mbunge Ridhiwani Kikwete, akikabidhi zawadi kwa Kiongozi wa timu ya Kauzu Fc.
 Chief Kauzu akiingia uwanjani hapo wakati wa mchezo huo.
 Mbunge Ridhiwani Kikwete, akizungumza jambo na aliyewahi kuwa mchezaji na Kocha wa Simba Suleiman Matola
 Ridhiwani akihojiwa baada ya mchezo huo.
 Akisaini kitabu cha wageni
 Mahojiano yakiendelea

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.