Habari za Punde

MEYA WA JIJI NA MEYA WA KINONDONI WATEMBELEA BANDA LA AFRI TEA SABASABA

 Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika banda la Maonyesho la Afri Tea katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyrere jijini Dar es Salaam. Kulia ni mhudumu wa Banda hilo.
 Meya wa Kinondoni, Benjamini Sitta, akisaini  kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika banda la Maonyesho la Afri Tea katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyrere jijini Dar es Salaam. Kulia ni mhudumu wa Banda hilo.
 Waheshimiwa hao kwa pamoja wakipata maelezo kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni hiyo, kuhusu bidhaa yao mpya ya Maziwa ya Boksi yanayokwenda kwa jina la Clover.
 Waheshimiwa hao wakonja maziwa hayo baada ya kupata maelezo ya kina.
 Wakiendelea kuonja kwa pooozi
 Mfanyakazi wa Kampuni hiyo, Honoratha Kimati, akipanga bidhaa kwa ajili ya kuonyesha wateja bandani hapo
 Wateja wakizunguka uku na kule ndani ya Banda hilo kupata huduma
  Mfanyakazi wa Kampuni hiyo, Latipha Msese, akipanga bidhaa mpya ya Maziwa kwa ajili ya kuonyesha wateja bandani hapo
 Wateja wakipata maelezo kutoka kwa wahudumu....
  Mfanyakazi wa Kampuni hiyo, Ever, akipanga bidhaa kwa ajili ya kuonyesha wateja bandani hapo
 Baadhi ya wateja wakiwa katika harakati za kuonja maziwa.
 Haya ni majiko mapya yanayoandaliwa kuanza kuuzwa na kumpuni hiyo ambayo yamewekwa bandani hapo kwa maonyesho, ambayo hutumia mkaa wa kutengenezwa kwa Takataka huku jiko hilo likiwashwa kwa kutumia umeme.
 Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, akipokea zawadi kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni hiyo.
 Meya wa Kinondoni, Benjamini Sitta, akipokea zawadi kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni hiyo.
Mahijiano yakiendelea mahala hapo baada ya kuonja bidhaa hiyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.