Habari za Punde

MSEMAJI MPYA WA JESHI LA POLISI AFANYA ZIARA IDARA YA HABARI- MAELEZO

 Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo, Dkt,Hassan Abbas (kushoto) akizungumza na Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamishina Msaidizi(ACP) Barnabas Mwakalukwa mara baada ya kuwasili ofisini kwake Jijini Dar es Salaam mapema hii leo.
 Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo, Dkt,Hassan Abbas, akimuonesha  Msemaji Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa, moja ya Majarida yanayochapishwa na Idara ya Habari Maelezo katika ofisi za Idara hiyo jijini Dar es Salaam mapema hii leo.
 Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo, Dkt,Hassan Abbas, (kushoto) akiwatambulisha baadhi ya Wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo mbele ya Msemaji Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa (kulia), alipofikiwa Makao Makuu ya Idara hiyo Jijini Da r es salaam mapeme hii leo.
 Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo, Dkt.. Hassan Abbas, (katikati) akimuonesha Maktaba ya Idara ya Habari Maelezo, Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa, katika makao makuu ya Idara hiyo Jijini Dar es salaam mapema hii leo.
Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo, Dkt. Hassan Abbas, akimuonesha Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa, baadhi ya ofisi za Idara ya Habari Maelezo alipotembelea Idara hiyo mapema hii leo. 
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Dkt. Hassan Abbas, akiagana na Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa, katika ofisi za Idara hiyo mara baada ya Msemaji wa Jeshi la Polisi kukutana na Mkurengzi pamoja na wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo mapema hii leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.