Habari za Punde

NAIBU KATIBU MKUU CCM, RODRICK MPOGOLO ATEMBELEA BANDA YA PROPERTY INTERNATIONAL MAONYESHO YA SABASABA

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rodrick Mpogolo (katikati) akiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International, Abdul Haleem (kushoto) na kumpa maelezo kuhusu kazi za kampuni hiyo inayojishughulisha na uuzaji na ukopeshaji wa Viwanja, vilivyopimwa ambapo pia hutumia taratibu za Kibenki kwa malipo ya mkopo katika Benki washirika zisizopungua tano (5), Mpogolo  alitembelea Banda hilo katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Masoud Khalfan. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
 Maelezoyakiendelea
 Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rodrick Mpogolo (kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International, Abdul Haleem, kuhusu Ndege isiyo na Rubani inayotumika kupiga picha za juu wakati wa kutathmini maeneo ya miradi, wakati alipotembelea Banda lao katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. 

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rodrick Mpogolo (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International, Abdul Haleem, kuhusu mpango miji inayofanywa na Kampuni hiyo, wakati alipotembelea katika Banda lao la Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Masoud Khalfan.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rodrick Mpogolo (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International, Abdul Haleem.
  Mkurugenzi wa Kampuni ya Property International, Masoud Khalfan, (kulia) akimunyesha Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Rodrick Mpogolo, moja ya nyumba ambazo kuta zake zimejengwa kwa kutumia vifaa kama Waya na Maboya na imara wakati,alipotembea Banda la Kampuni hiyo katika Maonyesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo wakiendelea kutoa maelezo kwa wateja wao waliofika katika Banda hilo.
 Vijana wa kampuni hiyo wakipozi kwa picha na baadhi ya makombe waliyopata katika Maonyesho hayo.
 Ufafanuzi kwa wateja wanaohitaji viwanja ukiendela...

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.