Habari za Punde

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKOA WA KIGOMA

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Waziri Maji Mhandisi Gerson Lwenge, Mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe pamoja na viongozi wengine wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa mradi wa maji toka ziwa Tanganyika
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Waziri Maji Mhandisi Gerson Lwenge, Mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe pamoja na viongozi wengine akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa mradi wa maji toka Ziwa Tanganyika
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo ya ujenzi wa mradi mkubwa wa maji toka Ziwa Tanganyika toka kwa mhandisi mshauri wa mradi huo ndugu Michael Mwamkinga

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt, John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo ya ujenzi wa mradi mkubwa wa maji toka Ziwa Tanganyika toka kwa mhandisi mshauri wa mradi huo ndugu Michael Mwamkinga

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia Mamia ya Wananchi wa Mkoa wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, akiwa katika picha ya pamoja na vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa Bulombora Kikosi cha 821KJ.

Vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa Bulombora Kikosi cha 821kj wakishangilia mara baada ya kukutana na kupiga picha kusalimiana na Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli .

Maelfu ya waanchi wakimsikiliza Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Magufuli wakati akiwahutubia a katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisoma mabango baada ya kuhutubia katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwatuliza wananchi wakati akisoma mabango baada ya kuhutubia katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma

Umati wa wananchi uliojitokeza kumsikiliza Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania DktJohn Pombe Joseph Magufuli katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Waziri Maji Mhandisi Gerson Lwenge, Mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe pamoja na viongozi wengine akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa mradi wa maji toka Ziwa Tanganyika. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.