Habari za Punde

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR LEO, AONGEZA SIKU 5 ZA MAONESHO SASA KUMALIZIKA JULAI 13


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mkono wananchi wakati akitembelea mabanda mbalimbali baada ya kufungua rasmi maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo. 
Rais Magufuli ameyafungua rasmi Maonyesho hayo, yaliyoanza Juni 28 - ambayo yatamalizika Julai 8, 2017, ambapo kwa ushauri wake, Maonyesho haya kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017. Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.