Habari za Punde

RAIS MAGUFULI AHUTUBIA MAELFU YA WAKAZI WA MKOA WA TABORA KATIKA MKUTANO WA HADHARA

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,akihutubia mamia ya wananchi wa Mkoa wa Tabora Kwenye Uwanja wa Mpira wa Alli Hassani Mwinyi .
Rais wa Jamhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Kulia kwa Mh Rais ni Balozi wa India Nchini Mhe Sandeep Arya,Kulia kwa Mh Rais ni Waziri Maji Mhandisi Gerson Lwenge,akifuatiwa na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na Viongozi wengine wa Mkoa wa Tabora wakikata utepe kuashiria Ufunguzi rasmi wa mradi wa Maji toka Ziwa Victoria Kwenda Kwenye Mji wa Tabora,Igunga na Nzega
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Balozi wa India Nchini Mhe Sandeep Arya,Wakiteta jambo mara baada ya Mh Rais Kuweka Jiwe la Msingi na Ufunguzi rasmi wa mradi wa Maji toka Ziwa Victoria Kwenda Kwenye Miji wa Tabora,Igunga na Nzega
  Rais wa Jamhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipeana Mkono na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa Mara Baada ya Ufunguzi wa Ukarabati,Ujenzi na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege Tabora
 Rais wa Jamhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,akipata maelezo ya Mradi Ukarabati,Ujenzi na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege Tabora toka kwa Mhandisi wa Ujenzi wa Uwanja huo Mhandisi Neema Joseph kushoto kwa Mh Rais ni Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa
 Rais Dkt. Magufuli na Waziri Mbarawa wakifunua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la msingi
  Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe kwenye Ufunguzi wa Barabara ya Tabora -Puge -Ngeza yenye Urefu wa Kilometa 114.9 akiwa na Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa na Viongozi Wengine Wa Mkoa wa Tabora
Akipunga mkono kuwasalimia na kuwaaga wananchi wakati akiondoka katika uwanja huo jana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.