Habari za Punde

RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI KUANZA KWA MRADI WA UPANUZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Rais Dkt. John Magufuli, Mwakilishi wa Benki ya Dunia, Bella Berd kwa pamoja wakifunua kitambaa kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam, iliyofanyika Bandarini hapo, jijini leo.
 Dkt. John Magufuli, akisikiliza maelezo kuhusu ramani ya Ujenzi wa upanuzi wa Bandari kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari, Deusdedit Kakoko, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam, iliyofanyika Bandarini hapo, jijini.
Dkt. John Magufuli, Mwakilishi wa Benki ya Dunia, Bella Berd wakipeana mikono kupongezana baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam, iliyofanyika Bandarini hapo, jijini.
Dkt. John Magufuli, akihutubia wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam, iliyofanyika Bandarini hapo, jijini
Dkt. John Magufuli, akicheza muziki na wasanii Banana Zorro (kushoto) na Mrisho Mpoto, baada ya kumalizika kwa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam, iliyofanyika Bandarini hapo.
Baadhi ya wakuu wa Wilaya na wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo.
Baadhi ya wakuu wa Wilaya na wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo.
Vijana wa Hamasa wakicheza na kufurahi wakati wa hafla hiyo.
Kikundi cha Sanaa cha JKT kikitoa burudani
Msanii Mrisho Mpoto akitoa burudani katika hafla hiyo
Baadhi ya mabalozi walohudhuria hafla hiyo
Picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.