Habari za Punde

SERIKALI YATOA VIBALI KUJAZA NAFASI ZA WATUMISHI WA UMMA WALIOGHUSHI VYETI


   Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki akizungumza na watumishi wa umma wa Wilaya ya Kigamboni (hawapo pichani) wakati wa ziara ya kikazi katika wilaya hiyo leo Jijini Dar es Salaam
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe. Hashim Mgandilwa akifafanua jambo wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki kuzungumza na watumishi wa umma na kutatua kero zao leo katika Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam
 Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dkt. Bakari Mbwana akitoa hoja wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki kuzungumza na watumishi wa umma na kutatua kero zao leo katika Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki akifuatilia hoja zilizokua zikitolewa na watumishi wa umma wakati wa ziara ya kikazi leo katika Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya watumishi wa umma wa Wilaya ya Kigamboni walioshiriki katika ziara ya kikazi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki leo katika Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Picha na: Genofeva Matemu Maelezo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.