Habari za Punde

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA UGENI KUTOKA CRDB BENKI OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza wakati alipotembelewa na ugeni kutoka CRDB Benki Tawi la Dodoma, Katikati ni Meneja wa CRDB Benki Tawi la Dodoma Ndg. Rehema Hamisi na kulia ni Meneja Biashara Ndg. Danny Shemdoe, katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma. Picha na Ofisi ya Bunge

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.