Habari za Punde

YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 60 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO TIMU YA SINGIDA UTD YATAMBULISHWA KWA WABUNGE

Viongozi na wachezaji wa timu ya Singida United wakiwa wakifuatilia mijadala ya bunge   katika kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Naibu Spika  wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson  akiongoza    kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma.
   Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.George Masaju akisoma maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa mwaka 2017 katika  kikao sitini  cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng Stella Manyanya akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma. Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.