Habari za Punde

BARAZA LA KISWAHILI LAJIPANGA KUTANUA WIGO KUONGEZA AJIRA NCHINI

 Katibu Mkuu wa Baraza la Kiswahili Tazania BAKITA, Dkt. Seleman Sewangi, akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam, leo kuhusu kuanzishwa kwa Kanzidata ya Wataalamu wa Kiswahili nchini ili kuongeza nafasi za ajira. Kushoto ni Kaimu Ofisa Mawasiliano wa Baraza hilo, Consolata Mushi.

Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo wakisikiliza kwa makini
 Waandishi wakiwa bize

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.