Habari za Punde

DAKTARI FEKI AKAMATWA HOSPITALI YA AMANA DAR

 Daktari FEKI akiwa chini ya ulinzi wa Mlinzi wa Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam,baada ya kukamatwa leo asubuhi, hapa akipelekwa kupanda gari kauelekea Kituo cha Polisi.
 Akiwa chini ya ulinzi mkali baada ya kukamatwa
Daktari Feki  aliyenaswa Hosipitali ya Rufaa ya Amana  akisubiri kupelekwa kituo cha polisi akidaiwa kujipatia fedha za kinyume na taratibu kutoka kwa wananchi akiwalaghai kuwaunganishia nafasi za kazi hosipitalini hapo. Kushoto mi Mlinzi wa  hosipitali hiyo akimlazimisha kuinua sura ili kupigwa picha. Picha na Baraka Loshilaa

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.