Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

Mwendesha Pikipiki akiwa amepakia Mnyama aina ya Nguruwe katika usafiri wake huku akiwa amemfunga kwa kutukia mipira jambo ambalo ni kinyume na haki za wanyama, kama alivyonaswa na Kamera ya Mafoto Blog katika Barabara ya Iringa Mbeya, akielekea Uyole, mkoani Mbeya hivi karibuni. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.