Habari za Punde

KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA (IDARA KUU MAENDELEO YA JAMII) BIBI SIHABA MKINGA AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA SHIRIKA LA 'WORD EDUCATION INITIATIVE' MJINI DODOMA

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto (Idara kuu Maendeleo ya Jamii) Bibi Sihaba Nkinga (wa pili kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la ‘World Education Initiative’ Bi Lilian Badi (hayupo pichani) walipofika kutambulisha programu ya ‘Waache Wasome’ katika Ofisi ya Wizara iliyoko UDOM Dodoma leo Agosti 04, 2017.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya  Watoto Bibi Magreth Musai (katikati) akichangia hoja katika kikao kati ya  Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto (Idara kuu Maendeleo ya Jamii) Bibi Sihaba Nkinga(kulia) na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la World Education Initiative Bi Lilian Badi( wa pili kushoto)  walipofika kutambulisha programu ya ‘Waache Wasome’ katika Ofisi ya Wizara iliyoko UDOM Dodoma leo.
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la World Education Initiative Bi Lilian Badi(katikati) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto (Idara kuu Maendeleo ya Jamii) Bibi Sihaba Nkinga(hayupo pichani) walipofika kutambulisha programu ya ‘Waache Wasome’ katika Ofisi ya Wizara iliyoko UDOM Dodoma leo. Picha na Erasto Ching’oro WAMJW

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.