Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI NCHINI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Mhe. Inmi Patterson (Katikati) aliyeongozana na Ofisa wa masuala ya Siasa Lauren M. Ladenson (kushoto) ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Mhe.Inmi Patterson aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam na kujitambulisha na kufanya mazungumzo kwa mara ya kwanza tangu alipowasili nchini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Mhe.Inmi Patterson baada ya mazungumzo. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.