Habari za Punde

MHE. NDUGAI AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA IRAN NA KUFANYA NAE MAZUNGUMZO

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, leo amekutana na Spika wa Bunge  la Iran, Dkt. Ali  Larijani na kufanya mazungumzo yenye lengo la kuimarisha mahusiano ya kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Iran.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.