Habari za Punde

MWANAFUNZI FEZA ATWAA TUZO YA KIMATAIFA AFRIKA KUSINI


Mwanafunzi kutoka shule ya secondary ya wasichana Feza, Rahma R. Masele aibuka kidedea nchini Afrika Kusini  kwa kushinda tuzo ya mwanafunzi bora katika mdahalo wa mashindano ya World Scholars Cup yaliyoshirikisha nchi Hamsini Duniani.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.