Habari za Punde

MWANARIADHA MTANZANIA AWADUWAZA WAZUNGU ASHIKA NAFASI YA TATU MBIO ZA DUNIA



Mwanariadha Mtanzania Alphonce Simbu akimalizia mbio wakati wa michuano ya Mbio za Dunia za IAAF, zilizofanyika mchana wa leo jijini London Uingereza.

Simbu amemaliza mbio hizo akishika nafasi ya tatu akimfuata Mkenya Muethiopia aliyeshika nafasi ya pili huku nafasi ya kwanza ikishika na Mkenya.

Katika mbio hizo, Simbu alitumia masaa 2 na dakika 20 akimuongoza mkenya mwingine aliyempita na kumwacha akimaliza katika nafasi ya tano. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.