Habari za Punde

MYWEATHER ALIVYOMCHAPA McGREGOR ALFAJIRI YA LEO

Bondia Mmarekani, Floyd Mayweather Jr. akimchapa ngumi Conor McGregor wa Ireland, wakati wa pambano la kuwania ubingwa wa WBC uzito wa Super Welter usiku wa kumkia asubuhi ya leo katika ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas, Marekani. 
Katika pambano hilo Mayweather ameshinda kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya 10 na kuweka rekodi ya kupigana mapambano 50 bila kupoteza. Mayweather alianza kwa kumsoma mpinzani wake na kumuachia atawale raundi tatu za mwanzo, na  baada ya hapo akaanza kumchapa mfululizo hadi alipochapa kwa TKO.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
JEFF POWELL'S SCORECARD MAYWEATHER ROUNDMCGREGOR
9 1 10
9 2 10
9 3 10
10 4 9
10 5 9
10 6 9
10 7 9
10 8 9 
10 9 9 
87 TOTAL 84

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.