Habari za Punde

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KAMISHNA MKUU WA MAMLAKA YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA ROGERS SIANGA IKULU DAR LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Kamishna Mkuu wa mamlaka ya kupambana na kuzuia dawa za kulevya Rogers Sianga alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 23, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na  Kamishna Mkuu wa mamlaka ya kupambana na kuzuia dawa za kulevya Rogers Sianga alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 23, 2017.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.