Habari za Punde

SIMBA WABEBA NGAO YA JAMII MBELE YA YANGA KWA MIKWAJU YA PENATI

 Rais wa TFF, Wallace Karia na Makamu wake Michael Wambura wakifurahia baada ya kumkabidhi Ngao ya Jamii Nahodha wa Simba, Method Mwanjale baada ya kuibuka na ushindi wa mikwaju ya penati 5-4 katika mchezo wa Ngao ya Jamii uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo jioni ikiwa ni ufunguzi wa Ligi Kuu Bara inayoanza jumamosi wiki hii. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya 0-0 ndani ya dakika 90.
 Kiungo mpya wa Yanga, Papy Tishishimbi, akimtoka Emmanuel Okwi, wakati wa mchezo huo.
 Niyonzima akifanya yake
 Donald Ngoma akiwania mpira na Salim Mbonde 
Raphael Daud waYanga (kulia) akiwania mpira na Erasto Nyoni. KWA MATUKIO ZAIDI YA PICHA ZA MTANANGE HUU NA HABARI KAMILI KAA NASI HAPO BAADAYE

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.