Habari za Punde

SPIKA NDUGAI AMTEMBELEA RAIS WA IRAN NA KUFANYA MAZUNGUMZO

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania, Job Ndugai  amemtembelea Ikulu na kufanya mazungumzo na Rais wa Iran aliyeapishwa jana, Hassan Rouhani ambapo Spika amempongeza kwa kuteuliwa kwake kwa mara ya pili na kumuahidi ushirikiano wa karibu baina ya Bunge la Tanzania na la Iran. Spika alikuwa ni miongoni mwa wageni mashuhuri walioalikwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Rouhani zilizofanyika  kwenye Bunge la Iran mjini Tehran.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.