Habari za Punde

TANESCO YAOMBA RADHI KUFUATIA KATIZO LA UMEME LILILOSABABISHWA NA HITILAFU KWENYE GRID YA TAIFA

TANESCO YAOMBA RADHI 
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi kwa Wateja wake waliounganishwa katika Gridi ya Taifa kwa katizo la umeme lililotokea majira ya Saa 7:32 Mchana.
Jitihada za kutatua tatizo hili zinaendelea, hadi kufikia saa 8:00 mchana baadi ya Mikoa imeanza kupata umeme.
Taarifa rasmi kuhusu tatizo hilo itatoloewa pale uchunguzi wa tatizo utakapo kamilika. 
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu 0222194400 na 0768 985100

Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
www.facebook/twitter.com/tanescoyetu
IMETOLEWA NA:- OFISI UA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.