Habari za Punde

TWAWEZA WAZINDUA RIPOTI YA UTAFITI KUHUSU HUDUMA ZA AFYA MIJINI NA VIJIJINI

 Mgeni mwalikwa kutoka TADA, Dinesh Vaishnav, akiongoza washiriki katika hafla ya uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa Shirika la TWAWEZA kuhusu huduma za Afya Mijini na Vijijini iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya washiriki waliohudhuria hafla hiyo ya uzinduzi wa Ripoti ya Twaweza
 Wakisikiliza kwa makini
 Baadhi walikuwa wakiuliza maswali ili kujua zaidi
 Waziri MKuu Mstaafu, Joseph Sinde Warioba, akiwa ni miongoni mwa wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti uliofanywa na Shirika la TWAWEZA kuhusu huduma za Afya Mijini na Vijijini iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
 Ofisa Mradi wa TWAWEZA, Nellin Njovu, akifafanua moja kati ya maswali yaliyokuwa yakiulizwa na washi
  Mgeni mwalikwa kutoka TADA, Dinesh Vaishnav, akiongoza washiriki katika hafla ya uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa Shirika la TWAWEZA kuhusu huduma za Afya Mijini na Vijijini iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Zitto Kabwe akisoma kwa umakini jarida la Twaweza, ukumbini hapo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.