Habari za Punde

WAZIRI DKT.MWAKYEMBE AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WASANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na baadhi ya wasanii wa Muziki wa kizazi kipya wakati wa mkutano wao ulofanyika leo mchana kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Wa pili (kushoto) ni Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Annastazia Wambura na Mwenyekiti wa Chama cha Wanamuziki wa Kizazi kipya Tanzania 'TUMA', Brihton Mbwana Picha zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
 Wasanii wakifurahia jambo wakati wa mkutano huo.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (wa pili kushoto) akipokea zawadi ya Picha yenye saaa kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Wanamuziki wa Kizazi kipya Tanzania 'TUMA', Brihton Mbwana (wa pili kulia) na Whitness Kibonge Mwepesi, wakati wa mkutano wa Waziri na Wasanii uliofanyika leo mchana kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Annastazia Wambura. 
Mwanamuziki Ambwene Yesaya AY (katikati) akisalimiana na John Kitime wakati wa mkutano huo. Kushoto ni Mwanasheria Albert Msando
 Mchizi Mox akiwa ni mmoja kati ya waliohudhuria mkutano huo.
Keysher na wenzake ndano ya mkutano huo
 Kitime na wenzake wakisikiliza kwa makini yaliyokuwa yakizungumzwa ukumbini hapo
 Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo Tanzania BASATA, Onesmo Kayanda, akizungumza na kutoa hotuba yake katika mkutano huo.
 Mwenyekiti wa Chama cha Wanamuziki wa Kizazi kipya Tanzania TUMA, Brighton Mbwana, akizungumz katika mkutano huo.
 Mwanasheria Albert Msando, akitoa ushuhuda wake wakati wa mkutano huo.
 Kutoka (kulia) Stara Thomas, Keysher na Whitness Kibonge mwepesi wakiwa katika mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.