Habari za Punde

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAWAKARIBISHA WANANCHI KUTEMBELEA BANDA LAKE KATIKA MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE LINDI

Baadhi ya wanafunzi wakiwa wanaonja  asali ili  kuwawezesha kutambua asali   bora mara baada ya kutembelea banda la Wizara ya Maliasili  na Utalii katika maonesho  ya Siku ya Wakulima yanayofanyika  kwenye viwanja Ngongo  mkoani Lindi 
Meneja wa Mawasiliano wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Glory Mziray  akisisitiza jambo kwa   wananchi   waliotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye maonesho ya Siku ya Wakulima yanayofanyika katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi
Baadhi ya wanachi  wakipewa maelezo  katika bustani ya miti mara  waliotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye maonesho ya Siku ya Wakulima yanayofanyika katika viwanja vya  Ngongo mkoani Lindi

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.