Habari za Punde

YANGA 'YATEST BUNDUKI' ZAKE KWA SINGIDA UTD YAIPA 3-2


 Mshambuliaji  wa Yanga, Donald Ngoma (kushoto) akichuana kuwania mpira na mabeki wa Singida United wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, jioni ya leo. Katika mchezo huo Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 3-2, yaliyofungwa na Kamusoko, Tambwe na Martine.

 Winga mpya wa Yanga, Baruani Akilimali (kulia) akimtoka Deus Kaseke wa Singida Utd, wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jioni hii.
 Kiungo mpya wa Yanga, Ibrahim Ajib (wa pili kushoto) akiwachachafya wachezaji wa Singida Utd.
 KIpa wa Singida Utd, akiruka kudaka mpira wa hatari langoni kwake.
 Akilimali (kushoto) akiwania mpira na Kaseke.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.