Habari za Punde

AZAM FC WAJIFUA KUWASUBIRI SIMBA SC UWANJA WA AZAM COMPLEX JUMAMOSI

Kiungo wa Azam Fc, Abubakar Salum 'Sure Boy', (wa pili kushoto) akiwania mpira na Himid Mao Mkami, wakati wa mazoezi yao jana usiku ujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajia kuchezwa keshokutwa siku ya jumamosi kwenye Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar es Salaam.
 Kocha Mkuu wa Azam Fc, Aristico Cioaba, akitoamaelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaotarajia kuchezwa siku ya Jumamosi kwenye Uwanja wa Chamaz Complex jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.