Habari za Punde

BREAKING NEEEEEEEEWZZZZZ!!!! TUNDU LISU APIGWA RISASI MJINI DODOMA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, amepigwa na risasi na watu wasiojulikana na kujeruhiwa vibaya na kukimbizwa Hospitali ya mkoa kwa huduma ya kwanza, ambapo imeelezwa hadi muda huu bado yupo chumba cha watu mahututi ICU.
Aidha imeelezwa kuwa Lisu amepigwa risasi upande wa tumboni na mguuni.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.