Habari za Punde

BREAKING NEEEEEEWZZZZZ!!!!!!! GWAJIMA NA WENZAKE WAFUTIWA KESI

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajina na wenzake watatu wameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yao.
Mahakama imemwachia huru Askofu Gwajima na wenzake baada ya kuonekana kutokuwa na hatia katika kesi ya kushindwa kuhifadhi vizuri silaha na risasi.
Aidha hukumu hiyo, imetolewa leo na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Cyprian Mkeha, ambaye alisema kuwa Mahakama inawaachia huru washitakiwa wote baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha mashitaka dhigi yao.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.