Habari za Punde

BREAKING NEEEEEEWZZZZZ!!!! WATHAMINI WA SERIKALI WA MADINI YA ALMASI WAPANDISHWA KIZIMBANI

WATHAMINI wawili wa Serikali wa Madini ya Almasi, wamepandishwa Kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo kwa tuhuma za kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Shilini Bilioni 2.
Washitakiwa hao waliopandishwa Mahakamani leo ni pamoja na Archard Kalugendo na Edward Rweyemamu, ambao wanakabiliwa na kesi ya Uhujumu Uchumi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.