Habari za Punde

BREAKING NEEEEEWZZZZ!!!! MANJI AACHIWA HURU

MFANYABIASHARA maarufu nchini aliyekuwa akishikiliwa Mahabusu kwa kipindi kirefu bila dhamana, Yusuf Manji, ameachiliwa huru leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu.
KAA NASI KWA HABARI KAMILI HAPO BAADAYE

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.