Habari za Punde

BREAKING NEEEEWZZZ!!!! MABASI YA MWENDO KASI YAGONGANA YAFUNGA BARABARA YAO

 Sehemu ya Mabasi ya Mwendo Kasi yakiwa katika foleni ndefu eneo la Manzese baada ya mabasi mawili kugongana eneo la Shekilango na kusababisha foleni kubwa katika njia hiyo kutokana na njia hiyo kufungwa. Abiria katika vituo wamezidi kusongamana kutokana na mabasi hayo hadi sasa kutoendelea na safari zake huku yote yakiwa yanaelekea Kimara na kushindwa kugeuza.
 Moja ya basi lililogongwa likiwa katika kituo
 Basi lililogongana na jenzie likiwa katika njia panda ya Shekilango...

 Msululu wa foleni ya mabasi hayo yakiwa yamesitisha safari zake kwa muda
 Baadhi ya abiria wakiwa katika vituo wakisubiri usafiri
 Baadhi ya abiria wakiwa katika vituo wakisubiri usafiri
 Madereva wa mabasi hayo wakipiga stori wakiwa katika foleni hiyo
Baadhi ya abiria wakiwa katika vituo wakisubiri usafiri

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.