Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

Mafundi wakizibua mitaro ya maji taka katika Mtaa wa Luumba jijini Dar es Salaam, kama walivyonaswa na Kamera ya Mafoto Blog, mwishoni mwa wiki. Katika mtaa huo mitaro mingi ya maji machafu imeziba na kufanya maji machafu kumwagika hovyo na kusababisha usumbufu wa harufu mbaya kwa wakaaji na wapita njia wa mtaa huo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.