Habari za Punde

KARIBUNI KWA HUDUMA ZA KILIMO NA UFUGAJI: KILIMO JOINT

News: Ni wale wale Kilimo Joint wataalamu wa kilimo sasa wanakukaribisha upate huduma mbali mbali za kilimo na ufugaji- mbolea, damliners kwa ajili ya water reservoir au kutengeneza mabwawa ya samaki, madawa ya wadudu, chakula cha samaki, vifaranga vya samaki, upimaji wa udongo na kukupa ushauri wa kilimo BURE - wasiliana nasi - +255 683 556677  unaweza pia kufollow page yao ya Instagram na Facebook @kilimojoint #farmingiscool

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.