Habari za Punde

MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA JANA

Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Halima Bulembo akiuliza swali katika kikao cha tatu cha Mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dk.Suzan Kolimba akiteta jambo na Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angeline Mabula katika kikao cha tatu cha Mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(Muungano na Mazingira) Mhe.January Makamba akizungumza jambo na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde katika kikao cha tatu cha Mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akimskiliza Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba katika kikao cha tatu cha Mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Makame Mbarawa akizungumza jambo na Mbunge wa Chalinze Mhe.Ridhiwani Kikwete katika kikao cha tatu cha Mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha tatu cha Mkutano wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma. Picha na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.