Habari za Punde

MKINGA MKINGA ATEULIWA KUIONGOZA KAMPUNI YA UHURU PUBLICATION

 Mhariri Mtendaji mpya wa Kampuni ya Uhuru Publication, inayochapisha Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, Mkinga Mkinga, akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo, wakati wa Kikao cha utambulisho wa uteuzi wake kuiongoza kampuni hiyo kilichofanyika leo asubuhi kwenye Ofisi za gazeti la Uhuru zilizopo Lumumba jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Naibu Mhariri Mtendaji, Ramadhan Mkoma
 Mhariri Mktendaji mpya wa Kampuni ya Uhuru Publication, inayochapisha Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, Mkinga Mkinga, akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo, wakati wa Kikao cha utambulisho wa uteuzi wake kuiongoza kampuni hiyo kilichofanyika leo asubuhi kwenye Ofisi za gazeti la Uhuru zilizopo Lumumba jijini Dar es Salaam. 
Wakiongzana kuingia ofisini katika kikao hicho.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.