Habari za Punde

MTIBWA SUGAR YAWAKAZIA YANGA NA KUBAKI KILELENI YALAZIMISHA SARE 0-0

 Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajib (kulia) akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Ally Makarani, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya 0-0,  na kuifanya Mtibwa Sugar kubaki kileleni ikiongoza ligi hiyo wakiwa na Pointi 11 huku Yanga wakiwa nafasi ya tano na Pointi 9.

MATOKEO YA MECHI NYINGINE ZA LEO:
Yanga SC 0 - Mtibwa Sugar - 0
Singida Utd 1 -  Azam Fc - 1
Ndanda Fc 2 - Lipuli Fc - 1
Majimaji 0 - Kagera Sugar - 0
Ruvu Shooting - 1 - Njombe Mji - 1
Madui Fc 2 - Mbeya City - 2
Mbao Fc 1 - Tz Prisons - 1

MSIMAMO WA LIGI KUU BAADA YA MECHI ZA LEO:
1:-Mtibwa Sugar Pointi 11
2:- Azam Fc Pointi 11
3:- Singida Utd Pointi 10
4:- Tanzania Prisons Pointi 9
5:- Yanga Sc Pointi 9
6:- Simba Sc Pointi 8
7:- Mbeya City Pointi 7
8:- Ndanda Fc Pointi 7
9:- Mbao Fc Pointi 5
10:- Lipuli Fc Pointi 5
11:- Njombe Mji Pointi 4
12:- Mwadui Fc Pointi 4
13:- Ruvu Shooting Pointi 4
14:- Stand Utd Pointi 3
15:- Maji Maji Pointi 3
16:- Kagera Sugar Pointi 2

WAFUNGAJI WANAOONGOZA KWAMABAO MPAKA SASA:
1:- Emmanuel Okwi: Simba Mabao 6
2:- Mohamed Rashid: Tz Prisons Mabao 4
3:- Habib Kiyombo: Mbao Fc Mabao 3
4:- Michelle Katsaviro: Singida Utd Mabao 2
5:- Shiza Kichuya: Simba Mabao 2
6: Mohamed Samatta: Mbeya City Mabao 2
7:- Mbaraka Abeid; Azam Fc Mabao 2
8:- Marcel Kaheza: Majimaji Fc Mabao 2
9:- Ibrahim Ajib: Yanga Mabao 2
10:- Everest Benard: Mwadui Fc Mabao 2

 Mshambuliaji  wa Yanga, Obrey Chirwa (kushoro) akimfinya beki wa Mtibwa Sugar, Kassian Ponera, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
 Kiungo wa Yanga, Pius Buswita (kushoto) akijaribu kumtoka Mohamed Issa wa Mtibwa Sugar wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
 Kiungo wa Yanga, Raphael Daud (kushoto) akiwania mpira na Nahodha wa Mtibwa Sugar, Shaban Nditi, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
Obrey Chirwa (wa pili kushoto) akimtoka na kukwatuliwa na beki wa Mtibwa Sugar, Dickson Daud, 
wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
 Donald Ngoma (kushoto) akijaribu kupiga shuti huku akizongwa na beki wa Mtibwa Sugar, Dickson Daud, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
  Mshambuliaji  wa Yanga, Donald Ngoma(katikati) akijaribu kumtoka beki wa Mtibwa Sugar, Dickson Daud, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam,jana. Kulia ni kipa wa Mtibwa, Benedict Tinoco, akijiandaa kutoa msaada.
  Obrey Chirwa (katikati) akijaribu kuwatoka wachezaji wa Mtibwa Sugar, Issa Rashid (kushoto) na Shaban Nditi, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
  Ibrahim Ajib (kulia) akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Ally Makarani.
 Chirwa akimtoka Kassian Ponera
 Raphael Daud (kushoto) akiwania mpira na Nahodha wa Mtibwa Sugar, Shaban Nditi, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam
Geofrey Mwashiuya akijaribu kuwatoka wachezaji wa Mtibwa Sugar.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.