Habari za Punde

MWENYEKITI WA CHAUMMA HASHIM LUNGWE ASHIKILIWA NA POLISI KWA SIKU NNE

Mwenyekiti wa Chama cha Chaumma, Hashim Rungwe, aliyewahi kuwa mmoja kati ya wagombea Urais wa mwaka 2015,  anashikiliwa na Polisi katika Kituo Kikuu Dar es Salamaa, kwa siku nne sasa kwa kile kilichodaiwa kutuhumiwa Kughushi. Habari hizi zimethibitishwa na Kamanda Lazaro Mambosasa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.