Habari za Punde

NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT. KIGWANGALA AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA WADAU WA SEKTA YA AFYA YA BINAFSI NA YA UMMA

   Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla akifungua mkutano wakwanza   uliohusisha wadau wa sekta ya Afya ya binafsi na ya umma, uliofanyika mapema leo katika ukumbi wa Banki kuu ya Tanzania jijini Dar es salaam.
Wadau mbali mbali wa sekta ya Afya ya binafsi na ya umma wakifuatilia mjadala uliofunguliwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla kuhusu masuala ya utoaji wa huduma za Afya nchini Tanzania.
Kaimu Mkurugenzi wa Tiba Wizara ya Afya  Dkt. Dorothy Gwajima akimkabidhi cheti Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla wakati wa ufunguzi wa mkutano wakwanza  wa wadau wa Sekta ya Afya ya binafsi na ya umma  uliofanyika mapema leo katika ukumbi wa Banki kuu ya Tanzania jijini Dar es salaam
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla akigawa cheti kwa mmoja wa wadau kutoka sekta ya Afya ya Binafsi katika mkutano wa ufunguzi  wa kwanza wa wadau wa sekta ya Afya ya binafsi na ya umma uliofanyika mapema leo jijini Dar es salaam.
 Meza kuu ikiongozwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Muhammad Bakari Kambi wakati wa ufunguzi wa mkutano wakwanza   wa wadau wa sekta ya Afya ya binafsi na ya umma, wa kwanza kushoto ni kiongozi Mkuu wa APHTA Dkt. Samwel Ogillo  na wa mwisho kulia  ni Kaimu Mkurugenzi wa Tiba Wizara ya Afya  Dkt. Dorothy Gwajima.
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Muhammad Bakari Kambi wakiteta jambo na Mkuu wa APHTA Dkt. Samwel Ogillo wakati wa ufunguzi wa mkutano wakwanza  wa wadau wa Sekta ya Afya ya binafsi na ya umma ulioongozwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla mapema leo jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.