Habari za Punde

RATIBA MPYA YA LIGI KUU YA TANZANIA BARA HII HAPA BAADA YA MABADILIKO

Kikosi kazi, kilichopewa kazi maalumu ya kupitia upya Ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), kimemaliza majukumu yake na sasa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linawatangaza ratiba mpya.

Kwa mujibu wa ratiba mpya, baada ya michezo ya Agosti 26 na 27, Ligi Kuu ya Vodacom kwa sasa itaendelea Septemba 9 na 10 kama ambavyo inajionyesha kwenye kiambatanisho.No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.