Habari za Punde

TAMASHA LA DIMBA MUSIC CONSERT KIVUMBI LILIVYONOGA TRAVERTINE

 Mpiga Kinanda mahiri wa bendi ya TOT na bendi ya Taifa Stars, Juma Jerry (kushoto) na mpiga besi wake Hosea Bass, wakipagawisha wakati wa Tamasha maalumu ya 'Dimba Music Consert Kivumbi'.lililofanyika kwenye Ukumbi wa Travertine Magomeni jijini Dar es Salaam, jana.
 Rapa wa bendi ya Msondo Ngoma, Roman Mng'ande 'Romalio' akipagawisha kwa rap zake mpya wakati wa Tamasha maalumu ya 'Dimba Music Consert Kivumbi'.lililofanyika kwenye Ukumbi wa Travertine Magomeni jijini Dar es Salaam.
 Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Dansi nchini Hassan Rehani Bichuka, akiimba na kucheza jukwaani na Nyoshi El Saadat, wakiiwakilisha Bendi ya Taifa Stars, wakati wa Tamasha maalumu ya 'Dimba Music Consert Kivumbi'.lililofanyika kwenye Ukumbi wa Travertine Magomeni jijini Dar es Salaam, jana.
 Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Dansi nchini Hassan Rehani Bichuka, akiimba jukwaani sambamba na wanamuziki wenzake wa Bendi ya Taifa Stars, wakati wa Tamasha maalumu ya 'Dimba Music Consert Kivumbi'.lililofanyika kwenye Ukumbi wa Travertine Magomeni jijini Dar es Salaam, jana.
 Mwanamuziki wa bendi ya Taifa Stars, Nyoshi El Saadat (kushoto) na Hussein Jumbe, wakishambulia jukwaa wakati wa Tamasha maalumu ya 'Dimba Music Consert Kivumbi'.lililofanyika kwenye Ukumbi wa Travertine Magomeni jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya mashabiki wa muziki wa dansi wakisebeneka wakati wa Tamasha hilo.
 Mpiga Tumba wa bendi ya Taifa Stars, akifanya yake wakati wa Tamasha hilo.
  Mpiga Solo mkongwe nchini Adolph Mbinga akicharaza gitaa wakati wa Tamasha hilo.
 Mashabiki wakisebeneka.....
 Mikono juu mwendo wa mateka mikono juuuuuu
 Kila mmoja kifurahi kwa raha zake ......
 Kalama Legesu akishambulia jukwaa.
 Hussein Jumbe akishambulia jukwaa.....
Waandaaji wa Tamasha hilo wakitambulishwa jukwaani....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.