Habari za Punde

TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2017 LAFANA TUKUYU MBEYA


 Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (wa pili kushoto) Mbunge mstaafu wa Sumve, Richard Ndassa, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel, wakicheza na Nyoka aina ya Chatu wakivalishwa na wasanii wa kikundi cha Ngoma cha Bujola kutoka mkoani Mwanza, wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, linalofikia tamati katika Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya rungwe mkoani Mbeya. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO MEDIA GROUP)
 Luten General, James Mwakibolwa (kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makala, wakiteta jambo wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,linalofikia tamati katika Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.
  Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (wa pili kushoto) Mbunge mstaafu wa Sumve, Richard Ndassa, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel, wakicheza na Nyoka aina ya Chatu wakivalishwa na wasanii wa kikundi cha Ngoma cha Bujola kutoka mkoani Mwanza, wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, linalofikia tamati katika Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya rungwe mkoani Mbeya.
 Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kazini katika Tamasha hilo
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makala, akizungumza
 Dkt. Tulia akiwatambulisha baadhi ya wasanii wa mwaka jana waliopata nafasi ya kupelekwa shule kuongeza ujuzi.
 Meza kuu
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel, akisalimiana na Rais wa Shirikikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania (TAFF) Bwana Simon Mwakifwamba, na Dkt Tulia wakati wa Tamasha hilo. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
 Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Davis Mwamunyange, wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,linalofikia tamati katika Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.
 Wakiteta jambo
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos makala (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa majeshi Mstaafu,Davis Mwamunyange.
 Wakifurahia ngoma 
 Dkt. Tulia kitetajambo na Mkuu wa Mkoa.
 Wasanii wa Kikundi cha ngoma cha Sindimba kutoka mkoani Mtwara, wakishambulia jukwaa wakati wa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,linalofikia tamati katika Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya. 
 Wasanii wa Kikundi cha ngoma cha Sindimba kutoka mkoani Mtwara, wakishambulia jukwaa wakati wa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,linalofikia tamati katika Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya. 
 Wasanii wa Kikundi cha ngoma cha Sindimba kutoka mkoani Mtwara, wakishambulia jukwaa wakati wa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,linalofikia tamati katika Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya. 

 Wabunge wakitoka jukwaani kuwatunza wasanii
 Wadhamini Vodacom wakizungumza na waandishi wa habari uwanjani hapo
  Wasanii wa Kikundi cha ngoma cha Bujola kutoka mkoani Mwanza, wakishambulia jukwaa wakati wa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,linalofikia tamati katika Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya. 
  Wasanii wa Kikundi cha ngoma cha Bujola kutoka mkoani Mwanza, wakishambulia jukwaa wakati wa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,linalofikia tamati katika Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya. 
 Meza Kuu wakifurahia burudani ya ngoma
 Msanii wa Kikundi cha Bujola akicheza na nyoka.
 Wasanii wa kikundi cha Ngoma cha Kongwa mkoani Dodoma, wakishambulia jukwaa wakati wa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,linalofikia tamati katika Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.
 Mtoto Annastazia Petu (6) mwanafunzi wa darasa la sita Shule ya msingi Mtakuja, akishambulia jukwaa na kundi lake la Awilo wa Mbeya, wakati wa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,linalofikia tamati katika Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.
 Waheshimiwa wakinogewa husimama na kucheza kama hivi
 Awilo wa Mbeya na wasanii wake wakishambulia jukwaa wakati wa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,linalofikia tamati katika Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.
 Wasanii wa kikundi cha Ngoma cha Aruta kutoka Mkoani Kagera wilaya ya Bukoba mjini, wakishambulia jukwaa wakati wa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,linalofikia tamati katika Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.