Habari za Punde

TCRA YAWAPIGA MSASA WAMILIKI WA MITANDAO (ONLINE MEDIA)

Mkurugenzi wa Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Frederick Ntobi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Warsha juu ya matumizi ya vyombo vya habari Mtandaoni (Online Media) iliyowashirikisha wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN), kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Maudhui ya TCRA wakihudhuria warsha hiyo.
Sehemu ya wamiliki wa mitandao mbalimbali wakihudhuria warsha hiyo ya siku moja.
Mwenyekiti wa TBN, Joachim Mushi (kulia) akiwa meza kuu. Anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Kilaba, Mwenyekiti wa Kamti ya Maudhui ya TCRA, Bibi Msoka na James Kilimba ambaye ni Mkurugebnzi wa Bodi ya TCRA.
Mablogga wakiwa makinini kusikiliza wakati wa warsha hiyo. Kutoka kushoto ni Kranz Mwantebele, Adam Mzee na Dotto Mwaibale

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.