Habari za Punde

VIONGOZI WA CUF WAPATA AJALI WAKITOKA KUWAAPISHA WABUNGE WAO BUNGE NI DODOMA

Gari la viongozi wa Chama cha CUF likiwa limebebwa na Break Down likikokotwa baada ya kupata ajali eneo la Ubena Zomozi leo mchana wakati wakitokea mkoani Dodoma walikohudhuria sherehe ya kuapishwa kwa wabunge wapya wa CUF Bungeni mjini Dodoma jana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.