Habari za Punde

WAKAZI WA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIMA AFYA BURE

Umati wa Wakazi wa jiji la Dar es Salaam, na Vitongoji vyake wakiwa katika foleni ya kusubiri Huduma ya kupima afya bure katika Viwanja vya Mnazi Mmoja iliyoanza leo asubuhi na ikitarajiwa kumalizika siku ya Jumapili, Hadi muda huu unapoisoma posti hii zaidi ya watu 5000 wameandikishwa kupima afya katika viwanja hivyo.
 Zoezi la kupima afya likiendelea....
 Sehemu ya wananchi waliojitokeza kupima afya wakisubiri huduma
 Mmoja kati ya wananchi akipimwa presha.....
 Wengine wakiwa bado katika foleni.....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.