Habari za Punde

WAZIRI MWAKYEMBE AONGOZA MAMIA KUMUAGA MAREHEMU MUHINGO VIWANJA VYA MNAZI MMOJA, AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI DAR

 Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni, na Mwandishi wa Habari mkongwe nchini, Muhingo Rweyemamu, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,leo mchana. Marehemu Muhingo amezikwa katika makaburi ya Kinondoni
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni, na Mwandishi wa Habari mkongwe nchini, Muhingo Rweyemamu, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,leo mchana. Marehemu Muhingo amezikwa katika makaburi ya Kinondoni
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni, na Mwandishi wa Habari mkongwe nchini, Muhingo Rweyemamu, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,leo mchana. Marehemu Muhingo amezikwa katika makaburi ya Kinondoni
 Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mhe. Godwin Gondwe, akimfariji mke wa marehemu, wakati wa shughuli za kuaga mwili.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Sofia Mjema, akimfariji mke wa marehemu, wakati wa shughuli za kuaga mwili.
 Mwakilishi wa CHADEMA, Salum Mwalimu, akitoa heshima za mwisho....
 Mkuu wa Wilaya mstaafu kwa heshima, Jacquline Liana, akimfariji mke wa marehemu
 Mwandishi wa habari Atuman Hamis, akimfariji Mke wa marehemu
 Mkurugenzi wa kampuni ya Montage, Teddy Mapynda, akimfariji Mke wa marehemu. KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

 Ndugu, Jamaa na marafiki wakitoa heshima za mwisho
 Ndugu, Jamaa na marafiki wakitoa heshima za mwisho
 Ndugu, Jamaa na marafiki wakitoa heshima za mwisho
 Wafiwa
 Salamu za rambirambi

 Salamu za rambirambi.... 
 Ndugu, Jamaa na Marafiki wakimfariji mke wa marehemu, wakati wa shughuli za kuaga mwili.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na Athuman Hamis
 Waziri Mwakyembe, akiteta jambo na Mkurugenzi wa Montage Ltd, Teddy Mapunda.
Waziri Mwakyembe, akisalimiana na Athuman Hamis...

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.