Habari za Punde

YANGA WAJIFUA KUWAFUATA NJOMBE MJI JUMAMOSI

 Juma Mahadhi (katikati) akijaribu kuwatoka Thaban Kamusoko na Yusuph Mhilu, wakati wa mazoezi ya pamoja kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo asubuhi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Njombe Mji, unaotarajia kuchezwa Jumamosi mkoani Njombe.
 Papy Tshishimbi katika ubora wake
Wachezaji wa timu ya Yanga, wakiwa katika mazoezi ya pamoja kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leoasubuhi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Njombe Mji, unaotarajia kuchezwa Jumamosi mkoani Njombe.Picha na Muhidin Sufiani
 Beki mpya wa Yanga, Fiston Kashembe, akipiga pasi wakati wa mazoezi hayo
 Beki Hassan Kessy (katikati) na Kipa Beno Kakolanya, wakiwa na msemaji wao Chicharito Jukwaani wakiuguza majeraha
 Wagonjwa, Obrey Chirwa, Yahya Akilimali na Geofrey Mwashiuya, wakipasha nje ya uwanja mazoezi mepesi.
 Beki mpya wa Yanga, Fiston Kashembe baada ya kumaliza mazoezi.
Nginjanginja mazoezini......Mahadhi na Gadiel.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.